|
849. Vision
given to Raymond Aguilera on 15 January 1996 at 4:00 PM. I was high above the ground in the spirit, when I looked down and saw a white flag pole without a flag. I could see the round ball on top to the flag pole. Vision: Then the image changed into the Statue of Liberty. As I viewed it from above the crown, I could see the Statue of Liberty chewing on an apple. (over) |
849. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Januari 1996, saa 10:00 jioni. Nilikuwa juu kabisa ya ardhi katika ulimwengu wa roho, wakati nilipochungulia chini; niliona mlingoti mweupe wa bendera, lakini bila ya bendera. Nilikuwa naweza kuona kitufe kama mpira mdogo juu ya mlingoti huo. Mono: Kisha mlingoti ule ukabadilika na kuwa sanamu ile ya Uhuru (wa Marekani), uitwayo “Statue of Liberty”. Wakati nikiwa ninauangalia nikiwa juu ya taji la sanamu hiyo, mimi nilikuwa naweza kuona ile sanamu ya uhuru ikiwa inatafuna tunda la aina ya epo. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )