|
851. Vision
given to Raymond Aguilera on 18 January 1996 at 10:00 AM. The Lord showed me the number fifteen (15). Then I saw the number written: 15 yrs. My spiritual eyes saw the one and five of the number (15), but for some reason my focus was around the number 5 (the number 5 in the number 15). I really didn't understand, but there was something about the number "5", within the number 15. (over) |
851. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Januari 1996, saa 4:00 asubuhi. Bwana alinionyeshea tarakimu ya namba kumi na tano (15). Kisha mimi nikaona namba hiyo ikiwa imeandikwa “miaka 15”. Jicho langu la kiroho hata hivyo iliona mmoja na tano ya tarakimu ya namba (15), lakini kwa sababu nisizozielewa macho yangu ya yalivutiwa zaidi na tarakimu ya namba 5 (namba 5 katika tarakimu ya namba 15). Kwa kweli mimi sielewi, lakini kulikuwa na jambo kuhusu namba hiyo “5”, ndani ya namba 15. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )