852. Vision given to Raymond Aguilera on 18 January 1996 at 8:36 PM.

The Lord showed me the upper corner of where two walls meet the ceiling. The Lord made my eyes follow up the line where the two walls met to the ceiling corner. Then the Lord made my eyes follow each line where the ceiling and the walls met, and moved them toward the corner. Then He showed me how they all came to a single point in the corner.

852. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Januari 1996, saa 2:36 jioni.

Bwana alinionyeshea kona ya juu ya ukuta mahala ambapo kuta mbili zinapokutana na dari. Bwana aliyafanya macho yangu yafuate mstari ule ambako kuta mbili zinapokutana na kona ya dari. Kisha Bwana akafanya macho yangu yafuate kila mstari ambapo kuta hizo mbili na dari zinapokutana, na kwenda nazo hadi kwenye kona. Kisha akanionyeshea jinsi mistari hiyo yote mitatu inavyo kutana kwenye sehemu au pointi mmoja pale kwenye kona.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.