|
856.
Prophecy and Visions given to Raymond Aguilera on 23 January 1996 at 10:00
PM. Prophecy: During prayer at the Tuesday night prayer meeting, the Lord said, "Vengeance is Mine." Vision: Then I had a vision of a submarine propeller underneath the water. Vision: Then I saw a missile come from underneath the water and shoot into the sky. Then there was this large explosion in the sky. The explosion lit up the sky as an expanding circular light. As I was viewing it from underneath just before the expanded light filled the whole sky, I saw an image of the Statue of Liberty directly beneath the center of the circular light. What was so strange about the Statue of Liberty was it's height, it was miles high into the sky (right up to the light). Prophecy: Then the Lord said, "In one hour." Vision: A vision of two mountains fusing together and becoming one. Prophecy: Then later, Lord kept saying over and over, "Beware of the man in a two piece suit." Vision: I saw a vision of an engagement ring, but instead of having a diamond, it had the image of a cup cake. Vision: Then I saw a vision of a child's hands, hanging and swinging, hand over hand from a series of large metal rings; like the kind you see in a children's playground. (over) |
856. Unabii
na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 23 Januari 1996, saa 4:00 usiku. Unabii: Wakati wa maombi ya siku ya Jumanne usiku, Bwana alisema, "Kulipa Kisasi ni juu Yangu." Mono: Kisha mimi nikawa na maono ya nyambizi ikiwa inaendeshwa chini ya maji. Maono: Kisha mimi nikaona kombora likitokea chini ya maji na kuruka kwenda angani. Kisha kukawa na mlipuko huo mkubwa sana angani. Mlipuko huo ukaliwasha anga nzima kama mwanga wa mviringo uliokuwa unapanuka. Wakati nilipokuwa ninauangalia kutoka chini yake, kabla kidogo tu; ya mwanga huo uliokuwa unakua, kuujaza anga lote, mimi niliona sura ya sanamu (ya Uhuru wa Merikani), ikiwa chini ya eneo la katikati ya mwanga huo uliokuwa unapanuka. Kilicho kuwa ni cha ajabu kuhusu mnara huo wa uhuru, ilikuwa ni urefu wa sanamu hiyo, ilikuwa na urefu wa mamaili ya kwenda juu angani (hadi kwenye mwanga ule). Unabii: Kisha Bwana aksema, "Katika muda wa saa mmoja." Maono: Maono ya milima miwili ikawa inaingiliana na kuyeyushwa na kuwa mmoja. Unabii: Kisha baadaye, Bwana akawa anaendelea kusema tena na tena kuwa, "Jihadhari na mtu mwenye suti ya vipande viwili." Maono: Mimi niliona maono ya pete ya kuweka uchumba, lakini badala ya kuwa na almasi, ilikuwa na umbo la kikombe cha keki (cup cake). Maono: Kisha mimi nikaona maono ya mikono ya mtoto, yakiwa yana ning’inia na kuzunguka kwenda mbele na nyuma, mkono juu ya mkono kutoka kwenye pete za chuma; kama zile zinazo onekana katika michezo ya watoto kwenye viwanja vyao vya kuchezea. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )