857. Vision given to Raymond Aguilera on 24 January 1996 at 8:00 PM.

A vision of a large missile flying horizontally with and eagle standing toward the tail end, with it's wings out trying to hold it's balance. It reminded me of a surfer balancing himself on a surfboard.

 

857. Maono aliyopea Raymond Aguilera tarehe 24 Januari 1996, saa 2:00 jioni.

Maono ya kombora kubwa lililokuwa likiruka kwa usawa likiwa na tai aliyekuwa amesimama kwenye eneo la mkia wa kombora hilo, akiwa ametanua mabawa yake ili kukaa bila kuanguka. Ilinikumbusha wale wanaocheza na mitubwi midogo sana ya kwenye maji inayovutwa iitwayo “surfboard”, wanavyofanya ili wasianguke.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.