858. Vision given to Raymond Aguilera on 29 January 1996 at 10:16 AM.

I had a vision of a large beam that looked like telephone pole. This beam was held horizontally by a pair of Hands. I was only allowed to see the Hands, the beam, and the LIT up cave. As I watched, this round beam was used to hit the walls of this LIT carved cave. The beam hit and hit the rocky walls of this cave over and over until it broke down the rocky walls and reached the dark outside.

 

858. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Januari 1996, saa 4:16 asubuhi.

Mimi niliona maono ya mwanga mkubwa wa namna ya tochi, ambao ulikuwa unaonekana kama ni mnara wa simu. Mwanga huo ulikuwa umeshikiliwa kwa usawa kwa Mikono Miwili. Mimi nilikuwa nimewezeshwa kuiona tu ile mikono miwili, mwanga ule kama wa tochi; pamoja na pango lile LILILOMULIKWA. Nilipoendelea kuuangalia, mwanga ule uliendelea kugonga kuta zile za mwamba wa pango lile tena na tena hadi ukaubomoa na mwanga ule ukajitokeza nje kwenye giza nene.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.