859. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 30 January 1996 at 10:30 PM.

Vision:

A vision of a ice cream cone with vanilla ice cream and a dark colored cone, the cookie kind.

Vision:

Then the vision changed into three ice cream cones.

Vision:

A vision of a bundle of sticks tied tightly together with a thin white string.

Prophecy:

The Lord said, "Watch the cowboy from Texas."

Vision:

The Lord showed me a snake with someone trying to cut off it's head with a dull knife. It didn't effect the snake at all. Then I saw someone trying to brand it with a hot branding iron from the neck back. They branded the snake so much that when they were finished the snake looked like a flat pancake the whole length of the snake. Then the snake pulls itself together or blows itself up and wiggles away.

Vision:

I saw a powder blue airplane broken in two with the back portion missing.

859. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 30 Januari 1996, saa 4:30 usiku.

Maono:

Maono ya koni ya aiskrimu ikiwa na aiskrimu ya aina ya vanila pamoja na koni yake ambayo ni nyeusi na haing’ai; ya aina ya biskuti.

Maono:

Kisha maono yale yakabadilika na kuwa koni tatu za aiskrimu.

Maono:

Maono ya rundo la vijiti vilivyo fungiwa pamoja kwa nguvu; kwa kutumia uzi mwembamba mweupe.

Unabii:

Bwana akasema, "Mwangalieni mchungaji wa ng’ombea (cowboy) wa kutoka Texas."

Maono:

Bwana akanionyeshea nyoka pamoja mtu fulani aliyekuwa anajaribu kumkata kichwa kwa kutumia kisu kibutu. Kisu hicho hakikumdhuru nyoka yule kwa hali yeyote ile. Kisha nikaona mtu mwingine akimchoma yule joka kwa kutumia pasi, iliyokuwa imepashwa moto na kuwa nyekundu, kuanzia kichwani hadi kwenye mkia wa huyo nyoka. Huyu nyoka aliunguzwa vibaya kiasi ambacho alipomaliza kumchoma yule nyoka alikuwa anaonekana kama chapati kwa urefu wote. Kisha yule nyoka akajivuta pamoja na kukimbia haraka sana.

Maono:

Mimi niliona maono ya ndege yenye rangi ya kibuluu ikiwa imevunjika vipande viwili, na sehemu yake ya nyuma ikiwa haipo.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.