|
860.
Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 31 January 1996 at 8:00 PM. I had a vision of the Lord in a long white robe that came down to his feet with large sleeves. He was waving His Arms up and down slowly. (It looked like what a person would do if he wanted to fly using his arms and hands.) As I watched, I could see many people in front of the Lord praying on their knees. I looked at His Head, and He had a band of thorns, and the band of thorns changed into a golden crown. The Lord looked different; His Hair was short, and He looked a little older. Prophecy: He said, "Beware for the END IS HERE! Tell them of the reality of what is ahead for the Body of Christ and the members of the Body of Christ." (over) |
860. Unabii
na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 31 Januari 1996, saa 2:00 usiku. Mimi niliona maono ya Bwana akiwa amevaa kanzu ndefu ambayo ilikuwa imemfunika hadi kwenye Miguu Yake, na ikiwa na mikono mikubwa. Alikuwa akipunga Mikono yake juu chini, juu chini pole pole. (Ilikuwa inaonekana kama vile mtu anayetaka kuruka anavyofanya anapopungia hewa kwa mikono yake). Nilivyozidi kuangalia, nilikuwa naweza kuona watu wengi mbele za Bwana wakiwa wanaomba juu ya magoti yao. Mimi niliangalia kwenye kichwa chake alikuwa amevaa taji la miiba, na mara taji hilo la miiba likabadilika na kuwa taji la dhahabu. Bwana alikuwa sasa anaonekana kuwa tofauti; nywele zake zilikuwa fupi, na alikuwa anaonekana kuwa mzee zaidi kidogo. Unabii: Yeye akasema, "Mjihadhari kwa maana ULE MWISHO UMEWADIA! Waambie ukweli wa yale yaliyo mbele yenu; kwa ajili ya Mwili wa Kristo na Jumuiya yote ya Mwili wa Kristo." (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )