|
862. Maono
aliyopewa Vision given to Raymond Aguilera on 9 February 1996 at 8:30 PM. During prayer the Lord showed a couple of demonic figures holding an alligator off the ground and on it's side and there was a demon biting into it's neck. Vision: I saw a anchor tied to someone's leg, but when the anchor was released instead of falling down; it went up into the sky carrying the person at a very fast speed just the reverse of what you would think would happen. Vision: Then I saw a black whirlwind and a pair of large scissors that cut the top of off the whirlwind. (over) |
862. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Februari 1996, saa 2:30 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea vivuli vya mapepo kadhaa wakiwa wamemshika mamba juu ya ardhi na huku wakiwa wamemlaza kwa ubavu na kulikuwa na pepo mwingine aliyekuwa anamng’ata shingoni. Maono: Mimi niliona nanga ikiwa imefungwa kwenye mguu wa mtu fulani, lakini wakati nanga ilipofunguliwa badala ya kuanguka kwenda chini; ilielekea kwenda juu angani ikiwa imembeba mtu huyo kwenda angani kwa kasi kubwa ambayo ni kinyume na kile ambacho tungelitegemea kuwa kingelitokea kwa kawaida. Maono: Kisha mimi niliona kimbunga cheusi na mkasi mkubwa ambao ulikata kipande cha juu cha kimbunga hicho. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )