|
864.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 14 February 1996 at 11:30 AM. During prayer, I asked the Lord to reveal a deep inner truth from the bible. So I told the Lord that I was going to open the bible at random and for Him to show me something Powerful and Deep in His Truth. The Presence of the Lord came to me and the Lord led me to the Book of Ezekiel chapter 34. |
864. Unabii
aliopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Februari 1996, saa 5:30 asubuhi. Wakati wa sala, mimi nilimwuliza Bwana kunifunulia ukweli wa ndani sana katika Biblia. Hivyo nikamwambia Bwana kuwa, mimi ningelienda kufungua Biblia kwa kubahatisha bila kukusudia popote, na iwe juu Yake Yeye kunionyeshea maandiko ya humo ndani ya Biblia yaliyo na Nguvu Kubwa pamoja na Ukweli Wake Mkuu. Uwepo wa Bwana ukawa mkubwa na Bwana akaniongoza kwenye Kitabu cha Ezekieli sura ya 34.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )