870. Visions given to Raymond Aguilera on 10 March 1996 at 4 PM.

Vision:

A vision of a horseshoe magnet. It was all black except for the ends. The ends were painted White. As I watched the magnet- the White color on the ends began to move upward until they met in the middle of the magnet and changed the black magnet into a White magnet. (over)

 

870. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Machi 1996, saa 10 jioni.

Maono:

Maono ya smaku yenye sura ya kiatu cha farasi. Ilikuwa nyeusi yote isipokuwa kule mwishoni. Kule kwenye mwisho wake zilikuwa zimepakwa rangi Nyeupe. Nilivyo kuwa naiangalia smaku hiyo, rangi ile nyeupe kwenye miisho yake ilianza kupanda juu kwenye mwili wa smaku hiyo; hadi zilipokutana katikati yake, na kubadilisha smaku hiyo yote iliyokuwa nyeusi na kuwa nyeupe. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.