|
871.
Vision: I saw this extremely large mouth in the spirit with perfectly White Teeth. As I watched closely I could see the clean White Teeth chewing on some yellow straw.
|
871. Maono: Niliona mdomo fulani mkubwa sana katika ulimwengu wa roho ukiwa na Meno Meupe sana. Nilivyozidi kuyaangalia kwa karibu nilikuwa naweza kuona meno hayo meupe yakiwa yanatafuna majani fulani ya rangi ya manjano.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )