874. Vision given to Raymond Aguilera on 13 March 1996 at 5:45 PM.

I had a vision of the left profile of a Black Man's head. I noticed he had a large scar on his throat; it looked like it went from one ear to the other. It looked like it was healed because the Black Man was standing. His hair was slightly graying also. I sensed something about him being a political minister or something political. (over)

 

874. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 13 Machi 1996, saa 11:45 jioni.

Niliona maono ya sura ya kichwa cha upande wa kushoto wa Mtu fulani Mweusi. Mimi niliona akiwa na kovu kubwa kwenye shingo lake; ilikuwa inaonekana kama ilienda kutoka sikio lake mmoja; hadi sikio lake la pili. Ilikuwa inaonekana kama imepona kwa sababu Mtu huyo mweusi alikuwa amesimama. Nywele zake zilikuwa zimeanza kuwa nyeupe kidogo pia. Mimi nilihisi kitu fulani ndani yake ikiwa ni ya kisiasa. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.