877. Vision given to Raymond Aguilera on 16 March 1996 at 9:00 PM.

The Lord showed me a figure of a man wearing a long robe with long sleeves and a hood. I tried to look at his face, but all I saw was darkness and no head inside the hood. He was carrying a long black pole in his right hand that went from the ground to about one foot above his head. In his left hand he was carrying a lighted torch like the kind the Statue of Liberty is holding.

Vision:

The next vision was the same lit torch- except this time it had a glowing round ring around the base of the flame, but it encompassed the whole torch. I guess you would call it a halo.

 

877. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Machi 1996, saa 3:00 usiku.

Bwana alinionyeshea maono ya mtu aliyekuwa amevaa nguo ndefu (joho) pamoja na shati la mikono mirefu na kofia. Mimi nilijaribu kuuangalia uso wake, lakini yote niliyoona ilikuwa ni giza nene ndani ya kofia hiyo, na mtu huyo hakuwa na kichwa. Yeye alikuwa amebeba fito au fimbo ndefu na nyeusi kwenye mkono wake wa kulia, fimbo hiyo ilikuwa imeenda kutoka ardhini hadi urefu wa futi mmoja juu ya kichwa chake. Kwenye mkono wake wa kushoto alikuwa amechukua tochi iliyokuwa inawaka kama ile ya Sanamu ya Uhuru wa MAREKANI.

Maono:

Maono yaliyofuata yalikuwa ni ya tochi hiyo hiyo ila safari hii ilikuwa na pete iliyokuwa inang’ara chini ya tochi hiyo au kwenye kitako cha mwanga huo, lakini iliifunika tochi hiyo yote. Nadhani watu wanaita ‘halo’.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.