880. Vision:

While we were laying hands on a brother - who had asked for prayer - the Lord gave me a vision. This vision was of an unlit oil lamp full of oil with it's wick still in place - without the flame protecting glass cover. What was so unusual was that - on top of this wick (that WAS NOT lit) there was a White lighted Candle.

Meaning of Vision:

People are seeking for the Holy Spirit by trying to light an oil lamp, but the lighted Candle (Holy Spirit) is already there. The oil lamp has nothing to do with the Lit Candle. (One is man made and the other is God.)

 

880. Maono:

Wakati tulipokuwa tunamwekea mikono ndugu yetu fulani – aliyeomba aombewe – Bwana alinipa maono. Maono hayo yalikuwa ni ya taa ya mafuta ambayo imejaa mafuta na utambi wake ukiwa uko mahala pake – ambao haujawashwa pamoja na chemli yake. Kile kilicho kuwa si cha kawaida kilikuwa ni – juu ya utambi huo (ule AMBAO HAUJAWASHWA) Kulikuwa na Mshumaa Mweupe uliokuwa unawaka.

Maana ya Maono:

Watu wanajaribu kumtafuta Roho Mtakatifu kwa kuwasha taa ya mafuta, lakini Mshumaa uliowashwa (Roho Mtakatifu) yeye tayari yuko pale. Taa ya mafuta haina uhusiano na Mshumaa Unaowaka. (Mmoja imeundwa na binadamu na ile nyingine imeundwa na Mungu).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.