|
882. Vision
given to Raymond Aguilera on 21 March 1996 at 7 AM. I saw the torch of the Statue of Liberty (the real one). What was hard to believe was - I saw someone climb up to it with a ladder. He climbed onto the rim of the torch and started planting some flowers around the flame part. (over)
|
882. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Machi 1996 saa 1 asubuhi. Niliona tochi ya Sanamu ya Uhuru wa Marekani iitwayo “Statue of Liberty” (ile halisi). Kile kilicho kuwa ngumu kuamini kilikuwa ni – kuwa nilimwona mtu akipanda juu yake kwa ngazi. Yeye alipanda hadi kwenye pete au ule utepe wa tochi, na kuanza kuchora maua kuzunguka eneo la Mwenge wake. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )