885. Vision given to Raymond Aguilera on 27 March 1996 at 8:30 PM.

The Lord showed me a vision of a lit White Candle sitting on top of a table and right next to the edge.

Vision:

Then He showed me the same White Candle on the ground. Then as I was watching this big wave of black water rose up and was going to fall on top of the White Candle, but for some reason the black wave STOPPED in mid air and went back to it's original position. I watched this happen two times and the vision changed.

Vision:

Then this big wind came toward the lit White Candle and just before it reached the Candle this large round metal looking shield appeared between the lit Candle and the wind. The Candle was not effected by the wind.

Vision:

Then I saw a thin flat machine that looked a pole that is use hang your clothes or hats on. I could see this machine moving and it had arms and carrying a sleeping woman.

Vision:

Then I saw something that looked like a boat, but it could fly like an airplane. Then I saw the Lord's Hands hold this strange looking boat/plane and break it in two pieces.

Vision:

Then I saw a helicopter in the Lord's Hands and it too was broken in two pieces.

Vision:

There was also a vision about a flower. I saw this flower that had a formed or shape like a high champagne glass. Then I saw the Lord's Hands pouring something into it.

Then the Lord said, "I am going to fill this flower with My Nectar." (over)

 

885. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Machi 1996 saa 2:30 mchana.

Bwana alinionyeshea Mshumaa Mweupe uliokuwa unawaka, ambao ulikuwa umekaa juu ya meza na ulikuwa karibu kabisa na ukingo wa meza hiyo.

Maono:

Kisha Bwana akanionyeshea Mshumaa ule ule Mweupe juu ya ardhi. Kisha niliona wakati nikiwa naangalia wimbi fulani kubwa nyeusi ikinyanyuka kwenda juu na ilikuwa inaenda kuangukia juu ya Mshumaa huo Mweupe, lakini kwa sababu fulani wimbi hilo nyeusi LILISIMAMA juu angani na Kurudi ilipo tokea. Mimi niliona hayo yakitokea mara mbili na maono hayo yakabadilika.

Maono:

Kisha upepo fulani mkubwa ukawa unaujia Mshumaa huo Mweupe, na unaowaka na kabla haujaifikia Mshumaa huo; kitu kama ngao ya chuma kubwa na ya mviringo; ilizuka kati ya Mshumaa huo na upepo huo. Mshumaa huo haukudhurika na upepo huo.

Maono:

Kisha nikaona mashine iliyokuwa nyembamba na bapa ambayo ilikuwa inafanana na mlingoti ule wa kutundikia nguo au makofia. Nilikuwa naweza kuona mashine hiyo ikiwa inatembea na ilikuwa na mikono na ikiwa inambeba mwanamke aliyekuwa amelala.

Maono:

Kisha nikaona kitu fulani kilicho kuwa kinafanana na mtubwi, lakini ilikuwa inaweza kuruka kama ndege. Kisha nikaona Mikono ya Bwana ikikikamata kitu hicho; cha ajabu kilicho kuwa kinaonekana kama mtumbwi au ndege na kukivunja vunja katika vipande viwili.

Maono:

Kisha nikaona ndege ya aina ya helikopta kwenye Mikono ya Bwana nayo pia ilivunjwa vunjwa vipande vipande.

Maono:

Kulikuwa na maono mengine kuhusu ua. Niliona ua fulani lililo kuwa limeumbwa kama mfano wa glasi ya kunywea mvinyo wa aina ya shampaini. Nikaona Mikono ya Bwana ikimina kitu fulani ndani yake.

Kisha Bwana akasema, "Mimi nitaenda kumimina na kujaza ua hili kwa asali Yangu". (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.