|
886. Vision
given to Raymond Aguilera on 2 April 1996 at 9:42 AM. I saw what looked like a small oval crystal perfume bottle with many cuts on the crystal and it was beautiful and in the bottle there was perfumed virgin olive oil. Then the top was taken off. Vision: A vision of an enormous Coke cola bottle (the old style shaped). I could see a left hand moving up and down the bottle surface. Then the Coke cola bottle changed into an oil drilling tower. Then this oil drilling tower changed into the Space Needle tower in Washington State. (over)
|
886. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Aprili 1996, saa 3:42 asubuhi. Niliona maono ya chupa ndogo ya manukato iliyokuwa ina sura ya yai iliyokuwa na michanjo mingi kwenye chupa hiyo, na ilikuwa ina sura nzuri na ndani ya chupa hiyo kulikuwa na manukato ya mafuta ya mizeituni ambayo haijawahi kutumika. Kisha kifuniko chake kikatolewa. Maono: Niliona maono ya chupa kubwa sana ya Coke cola (iliyo na sura kama ile ya zamani). Nilikuwa naweza kuona mkono wa kushoto ukienda juu na chini kwenye uso wa chupa hiyo. Kisha chupa hiyo ya Coke cola ilibadilika na kuwa mnara wa mtambo wa kuchimbia mafuta. Kisha mnara huo wa mtambo wa kuchimbia mafuta, ukabadilika na kuwa mnara wa chombo cha anga za juu (Space Needle tower) ya kule kwenye Jimbo la Washington. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )