888. Vision given to Raymond Aguilera on 2 April 1996 at 9:38 PM.

I had a vision of the Head of Jesus Christ. Then as I looked, I saw the Lord's Crown of thorns being removed by the Father and a Golden Crown with many Jewels was placed on Jesus Christ's Head. (over)

 

888. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Aprili 1996, saa 3:38 mchana.

Mimi niliona maono ya Kichwa cha Yesu. Kisha wakati nikiwa naiangalia, niliona Taji la Bwana la miiba likiwa linatolewa na Baba, na Taji la dhahabu lenye kurembwa kwa vito vingi vya dhamani, likiwa linawekwa juu ya Kichwa cha Yesu. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.