|
890. Vision
given to Raymond Aguilera on 3 April 1996 at 8:30 PM. During praise and worship, I found myself in the spirit in a large outdoor stadium. At first I only saw a few empty seats, and the place seemed so quite and peaceful. The next thing I saw was the stadium again, but I was high in the air and looking directly down at it. As I looked down I saw all the seats filled with cheering people. The longer I looked, I noticed that they were worshipping the Lord. As I watch, this large bright White Light appeared high over the center of the stadium. And you could sense this immense Power coming from this bright White Light. (over) Vision: Then the next vision appeared. I saw a horizontal black rod about a foot long in the air, and on this black rod there were two almost round large yellow onions hanging upside down and side by side by their roots. Then twenty minutes later during praise and worship, I saw the rod being removed and the two onions fell to the ground. As they fell, they began to grow once they hit the ground. I could see the green stems growing from the onions as they laid on top of the ground. Then two white flowers grew from each onion. Then as I watched in the spirit, I saw the Lord's mouth open and with His tongue He began licking the two onion stems with the flowers. It looked very unusual seeing this, but it reminded me of what a mother cat does with her baby kittens. It looked Loving and gentle as He stroked each onion.
|
890. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Aprili 1996 saa 2:30 usiku. Wakati wa kusifu na kuabudu, mimi nilijikuta nikiwa katika ulimwengu wa kiroho na nikiwa kwenye uwanja mkubwa wa nje wa mchezo kama wa Mpira. Mwanzoni niliona viti vichache tu ambavyo havikuwa na watu na sehemu hiyo ilikuwa ni kimya na ya utulivu mkubwa sana. Mara ya pili niliona uwanja huo huo wa mpira, lakini safari hii nilikuwa nauangalia kutoka juu angani, mimi nikiwa mmoja kwa mmoja juu yake. Nilivyo kuwa nauangalia uwanja huo; mimi niliona viti vyote vikiwa vimejazwa na watu walio kuwa wanashangilia. Nilivyo zidi kuuangalia mimi niliona watu hao wakiwa wanamwabudu Mungu. Nilivyo angalia Mwanga fulani Mweupe na mkali ulijitokeza juu ukiwa katikati ya uwanja huo. Na ulikuwa unaweza kuhisi Nguvu fulani kubwa sana, ukiwa unatoka kwenye Mwanga huo Mweupe. (Mwisho). Maono: Kisha maono yaliyofuata yakijitokeza. Mimi niliona fimbo au kijiti iliyo nyooka na kulala kwa usawa chenye urefu wa futi mmoja angani, na juu ya kijiti au fimbo hiyo nyeusi kulikuwa na vitu kama vitungu viwili vyenye rangi ya manjano vikiwa vimening’inia kwa mizizi yao na huku vikiwa kichwa chini lakini vimekaa ubavu kwa ubavu. Dakika ishirini baadaye wakati wa kusifu na kuabudu, mimi niliona kijiti hicho kikiwa kimeondolewa na vitungu hivyo viwili viliangukia ardhini. Mara zilipoanguka na kutua ardhini tu vilianza kukua mara mmoja. Nilikuwa naweza kuona shina lake la rangi ya kijani kibichi ikiota juu ya vitunguu hivyo mara vilipo tua juu ya ardhi. Kisha maua mawili yakaota juu ya shina la vitunguu hivyo. Nilivyoendelea kuuangalia katika ulimwengu wa kiroho, mimi niliona Mdomo wa Bwana ukifunguka na mara ukaanza kulamba vitunguu hivyo viwili vilivyo kuwa na maua mawili mawili, kuanzia kwenye shina hadi kwenye maua yake. Ilikuwa inaonekana kama kitu kisicho kuwa cha kawaida kabisa kuona hilo, lakini ilinikumbusha mama paka afanyavyo kwa watoto wake. Ilikuwa inaonekana kuwa ni kitu cha Upendo Mkubwa sana akiwa analamba kila kitunguu.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )