891. Occurrence and Prophecy given to Raymond Aguilera on 3 April 1996 8:30 PM. in English.

I felt a strong Presence of the Lord. My whole spirit was being revived. I felted so unusual and so tired. That I asked the Lord to take me. I asked the Lord to take me right now. I said to the Lord, "Lord I have seen to much. I have experienced to much. Take me right now!"

And the Lord said, "No, No My son! No! No!" (over)

 

891. Matukio na Unabii aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Aprili 1996, saa 2:30 usiku katika lugha ya Kiingereza.

Mimi nilihisi uwepo mkubwa wa Bwana. Roho yangu yote ilikuwa inaimarishwa na kufufuliwa mimi nilijisikia kama siyo wa kawaida na niliye choka. Nikamwuliza Bwana anichuke. Nilimwambia Bwana anichukue saa ile ile. Nilimwambia Bwana, "Bwana mimi nimeona mengi mno. Nimepata uzoefu mwingi mno. Unichukue sasa hivi!"

Naye Bwana akasema, "Hapana, Hapana Mwanangu! Hapana! Hapana!" (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.