|
893.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 4 April 1996 at 1:30 AM. in English. The Power of God will manifest itself upon the people, on the righteous; upon the pure and the clean, at the allotted time. But the rest, the dragon will clean/ purify, through the trials and tribulations. For the dragon will be used as an instrument of God to purge the evil, the wickedness, from the ones that are not obeying the Lord or walking in His statutes (the Christians who are saved that are the prodigal sons of the Lord Jehovah). (over)
|
893. Unabii
aliopewa Raymond Aguilera tarehe 4 Aprili 1996, saa 7:30 usiku katika lugha
ya Kiingereza. Nguvu za Mungu zitajidhihirisha juu ya watu, juu walio waadilifu, juu ya walio takata na walio wasafi, katika wakati ulio pangwa. Lakini walio salia, dragoni (joka) atawasafisha atawatakasa, kwa njia ya dhiki na mateso. Kwa maana dragoni atatumiwa kama chombo cha Mungu cha kuondoa uovu, ubaya, udhaifu, kutoka kwa wale ambao hawamtii Bwana au hawatembei katika amri zake (Wakristo wale ambao wameokolewa, wale ambao ni wana wapotevu wa Bwana Yehova). (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )