|
894. Vision
given to Raymond Aguilera on 6 April 1996 at 1:00 PM. in English. During worship, the Lord showed me the new high - rise Stratosphere Hotel and Gambling Casino in Las Vegas, the one with the roller coaster on top. I saw the Hotel with a small Bright Light that grew like an expanding White Ball of White Light. The Light started just below the saucer shape of the building. Then the Lord appeared as the Light diminish. He appeared taller than Stratosphere Hotel and Casino. Then I saw the Lord rip the saucer shape off the tall tower with His two Hands, and throw it to the ground. Then the Lord said, "Stay away from this place. For as My Name is Jehovah, I will destroy it." (over)
|
894. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Aprili 1996, saa 7:00 mchana katika
lugha ya Kiingereza. Wakati wa kuabudu, Bwana alinionyeshea eneo la juu – la hoteli iitwayo ‘Stratosphere Hotel and Casino’ ambayo ni hoteli na ukumbi wa Kamari na starehe wa Las Vegas, hoteli hiyo iliyo na jengo la juu linalo zunguka lenye umbo la sahani. Niliona Hoteli hiyo pamoja na Taa ndogo Kali ambayo ilikuwa kama Mpira wa Mwanga Mweupe uliokuwa unakua. Mwanga huo ulianzia chini ya sehemu ya jengo hilo lililo kuwa na mwuundo wa sahani. Kisha Bwana akajitokeza wakati mwanga huo ulipoanza kupungua. Yeye alikuwa anaonekana kuwa mrefu kuliko Hoteli ya hiyo ya ‘Stratosphere Hotel and Casino’. Kisha nikamwona Bwana akiipasua pasua kile kitu chenye sura ya sahani juu ya mnara ule kwa Mikono yake, na kuitupa chini ardhini. Kisha Bwana akasema, "Kaa mbali na eneo hilo. Kwa maana kama kweli Jina Langu ni Yehova Mimi nitaiangamiza eneo hilo." (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )