|
895. Vision
given to Raymond Aguilera on 10 April 1996 at 1:30 PM. While I was laying down taking a break and listening to some praise music the Lord showed me, Three Lights moving in the air. Then they came together and formed ONE large Light. It was the Father, Son Jesus Christ, and the Holy Spirit, and the Lord said, "Follow Me." So started following in the spirit down this path. It was a straight path for a while, then it took a sudden turn and I could not see around the curve. Then the vision stopped. (over)
|
895. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Aprili 1996 saa 7:30 mchana. Wakati nikiwa nimejipumzisha kwa kujilaza na kitandani na huku nikiwa nasikiliza muziki wa kusifu, Bwana alinionyeshea Miali ya Mianga Mitatu ikiwa inatembea juu angani. Kisha zikajiunganisha na kuunda Mwanga Mweupe MMOJA mkubwa. Alikuwa ni Baba, Mwana Yesu Kristo, pamoja na Roho Mtakatifu, na Bwana akasema, "Unifuate Mimi." Kisha mimi nikaanza kumfuta yeye katika ulimwengu wa Kiroho kwenye njia fulani. Ilikuwa ni njia iliyo nyooka kwa muda, kisha ikapinda kwa ghafla nami nilikuwa sioni kwenye kona hiyo. Kisha maono hayo yakasimama. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )